Hamissi Hamza Jr
JF-Expert Member
- Apr 16, 2020
- 561
- 1,149
NaamKikubwa tunaobet hatuvunji sheria za nchi..
Kuhusu kufanikiwa katika maisha huwa hakuna formula wala galantii, mwenye kufanya shughul yoyote ile ya kumuingzia kipato anaweza kutoboa au asitoboe..
Kuna kijana alikuwa anaokota maplastik sahivi ana nyumba na duka alikula milion 65 meridian.
Kuwa Mpole Bro Ukweli haujawahi kuwa mtamu siku zote huwa mchunguUMETUMWA?
Baada ya wewe kuacha kubet ndio umekuja kutoa ushari.Kumekuwa na Wimbi kubwa la Watoto,vijana na wazee kuwa Waraibu wa Kamali kwa kutafuta mkato wa kufikia mafanikio kirahisi",
Wewe una shillingi 500 au 1000 unataka uwe milionea uliona Wapi
Maisha Ni Probability Game Lazima Chochote Unachofanya uangalie Gain Ratio na Lose Ratio",
Lose ration ikiwa Ni kubwa kuliko Gain Ratio Unapoteza Muda wako,Unadumaza Akili yako na Kupoteza rasimali pesa yako",
Amka Kutoka Usingizini Betting Haitokutoa kwenye Umaskini,Haitokupa Maisha ya Ndoto zako Toka Magetoni Nenda kapambane mtaani unachokipata kiheshimu na fikilia namna ya kukiongeza".
Haujajibu swali, UMETUMWA??Kuwa Mpole Bro Ukweli haujawahi kuwa mtamu siku zote huwa mchungu
Mimi Na Miaka yangu 24 nikalilie demu, Nikalilie Wajasilia Viuno, Nikalilie Mapenzi Bro me sio wa aina hioNyie msiobeti mtuonyeshe mafanikio yenu..
Tafiti zinaonyesha watu wasio beti ndio wanaoongoza kulia lia kwenye mapenzi..
Mkamaria hata siku moja huji kumkuta analialia mapenzi
Kubeti kunaongeza ujasiri wa kuzidi kutafuta pesa
95% ya mataifa yote duniani kuna kampun za kubet,Ukiona Taifa linageukia kamari ujue Kuna shida mahali