Hujanielewa. Uwepo wa kampuni za betting sio shida, tatizo ni pale zaidi ya 50% ya wananchi kugeukia betting kama chanzo cha kipato95% ya mataifa yote duniani kuna kampun za kubet,
Vipi mataifa yote yanashida?
Huko sahihi mkuu, sikukuelewa vzr..Hujanielewa. Uwepo wa kampuni za betting sio shida, tatizo ni pale zaidi ya 50% ya wananchi kugeukia betting kama chanzo cha kipato
Kabisa na huo ndo ukweli!!,,lkn huwa najiuliza kwanini serikali inaacha michezo kutapakaa kila mahali,hadi kwenye nyumba binafsi!!!, Mbele ya kiosk au duka!!! Na matangazo lukuki kwenye vyombo vya habari usiseme,inatia hasira kwa kweli.Kumekuwa na Wimbi kubwa la Watoto,vijana na wazee kuwa Waraibu wa Kamali kwa kutafuta mkato wa kufikia mafanikio kirahisi",
Wewe una shillingi 500 au 1000 unataka uwe milionea uliona Wapi
Maisha Ni Probability Game Lazima Chochote Unachofanya uangalie Gain Ratio na Lose Ratio",
Lose ration ikiwa Ni kubwa kuliko Gain Ratio Unapoteza Muda wako,Unadumaza Akili yako na Kupoteza rasimali pesa yako",
Amka Kutoka Usingizini Betting Haitokutoa kwenye Umaskini,Haitokupa Maisha ya Ndoto zako Toka Magetoni Nenda kapambane mtaani unachokipata kiheshimu na fikilia namna ya kukiongeza".
Endelea kujipa moyoKwa Idadi hii katika Takwimu na wewe umo.
πππMaisha yenyewe kamari, kila mtu afanye vile anaona inafaa
Huenda mbali na Kodi wanayolipa haya makampuni,Kuna Waliopo serikali Ni wanufaika haya makampuni(Wana Hisa)Kabisa na huo ndo ukweli!!,,lkn huwa najiuliza kwanini serikali inaacha michezo kutapakaa kila mahali,hadi kwenye nyumba binafsi!!!, Mbele ya kiosk au duka!!! Na matangazo lukuki kwenye vyombo vya habari usiseme,inatia hasira kwa kweli.
πππ Tathimini muda kwanza Matumaini huenda na uhalisiaTubeti ila kwa akili na umakini unaweza kutoka na haitakiwi kupaniki
Na wajuaji pia alafu hawaambilikiUpo sahihi, tatizo vijana wa saizi wabishi sana kusikia kwa kenge mpaka atoke damu....
Jibu swali wewe umefanikiwa nini kunizidi Mimi ambaye ninabetNa wajuaji pia alafu hawaambiliki
Ila Wenzetu hawaamkii asubuhi Betting kwao Ni Sehemu ya starehe tu sio ya kutafuta mafanikio ya haraka na shortcut ya kutoboa95% ya mataifa yote duniani kuna kampun za kubet,
Vipi mataifa yote yanashida?
πππ Kwani Tunapimana Asset tunazomiliki au tunaongelea uhalisiaJibu swali wewe umefanikiwa nini kunizidi Mimi ambaye ninabet