Huwezi Kutoka Kimaisha Kama Unafanya Biashara kwa Mtindo Huu

Hukutakiwa kuhama, hapo ndipo ulipokosea changamoto kama hizo ndiyo mtaji wa kujikuza zaidi na kufanikiwa.

Sasa huko ulikohamia na kwenyewe wakikufuata wakafungua biashara kama unayofanya utahama tena?!
 
Namba 1 ukibuni biashara yako utaigwa na utapigwa chini. Mfana, wewe mtaji wako ni kuagiza jeans pc 1000 toka kwa mchina, kila jeans unaiuza kwa kupata faida ya 2000. Anaekuiga anamtaji mara 3 yako anaweza kuagiza pc 3000 akauza kwa faida ya 1500, vipi nani atafunga duka amuache mwenzake?
 
Biashara zina mambo mengi sana aisee, nami nikipata muda nita share ya kwangu!
 
Hivi namba 1,2 na 5 kuna utofauti gani, naona unaelezea kitu kilekile, anyway bandiko sio baya japo halijashiba kama heading ilivyo..
Unataka ushibe? Aliyoyaongea mtoa mada ni kama mtaji ukiyatafakari utashiba!
 
Twambie baadae ikawaje ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…