Huwezi na Hutoweza Kuongea / Kuandika Kiswahili fasaha

Heee! wamekudanganya mkuu. eti mataifa ya kiarabu? hicho kiarabu ni Kigiriki, kilicho changanyika na Lugha za Kifonesia. hakuna Taifa la Kiarabu Duniani. hayo mataifa ya kiarabu unayo yaona leo ni wajukuu wa Magriki tu waliochanganya damu na wanawake Watumwa walio bakwa. wanaume hawakuzalisha walihasiwa.

Usiwasifusifu sana wale hawatakaa kukupenda katu? wanakuona kafir mtumwa tu. ungesema hivi ushenzi East Africa umechangiwa na hawa Magiriki.

Ni kweli ili uwe mstaarabu ktk Dunia ya waarabu fake, sharti uwasifu, uwe kibaraka mpole, usiwaponde kwa matendo yao mabaya, ya ubaguzi na udhalili juu ya watumwa, zaidi pia na kukariri lafudhi ya Lugha zao.yaani nachekaga mpaka basi, jitu jeusi tiii linaongea lafudhi ya kiarabu! mpaka leo ndo waswahili wanavopakwa mafuta kwenye mgongo wa chupa

Kiswahili kinatokana na Lugha za kibantu barani kote.kwisha! kiarabu kimeingia ingia tu ajili ya shughuli za biashara za pembe, dhahabu, utumwa,nk, tena hakuna utumwa mbaya Duniani wa kudhalilisha utu. kama uliowahi fanywa na hawa Wagiriki, wanaojiita Waarabu siku ukiujua ukweli kuhusu hii kabila utalia bila machozi.
 
Unaelewa unachokisoma? Nani kaongelea "taifa la Kiarabu"?
 
Unaelewa unachokisoma? Nani kaongelea "taifa la Kiarabu"?
Ungesema hivi ''nilielewa ulichokiandika?'' siyo km ulivo uliza hapo juu! Mimi naelewa ninachokisoma, zaidi pia ninachokielezea na kukiandika.

Umetaja mabara Africa, Asia, Uropa, hayo mabara ni muunganiko wa mataifa kadhaa ambayo yanakuja na kitu ''Bara moja fulani husika'' hivo mataifa ya Western Asia yana husika na kustawisha kiswahili kwa kupitia ustaarabu wa kiarabu kama ulivotanabaisha katika thread yako. (nimelipinga hili)

Nani kaongelea Taifa la kiarabu ? Jibu ni ''wewe''
kwa sababu umetaja kuwa ufasaha wa kiswahili unatokana na Lugha ya Kiarabu, ambapo hiki kiarabu ni lugha rasmi inayoongelewa kwenye mataifa ya kiarabu.km vile Egypt ya leo,Tunisia, Iraq, Yemen nk, kama haya si mataifa ya kiarabu basi tujuze tuelewe! huo ustaarabu wa kiarabu unaosema ni uarabu wa wapi? au ulimaanisha Ugiriki?

Huwezi kutohoa matumizi ya Lugha yeyote/zozote zile Duniani, bila kuonyesha au kutaja integrated geographical areas. ambapo wewe umeutaja Uarabu ktk thread yako! kama hujui walipo waarabu/Uarabu wa leo kijiogarafia au wametoka maeneo gani, wapi na lini. basi kubali tu. umepata Msaada na faida kubwa. By the way usiwapambe kiviile kwa michango yao hasi kiasi cha kujidhalilisha kama mtu mweusi. hata kama wanakupa Bakshish.
 
Angalia sasa ndivo walivo kudanganya huko umajununi? Waarabu ni nani? hakuna Waarbu race wa kihivo, hao ni politacal Race, asili yao Magiriki+ Africa, waliiga Lugha za Summerians, Aramaic,Foenike ambao ni wabantu!
 
Nimefatilia mnakasha tangu mwanzo.

Hakika bi FaizaFoxy 'nondo' unazoweka si za kitoto.

Darsa zuri sana, tunastafidi mno.

 
Nakushauri tu hiyo ni taaluma ya watu, kwa ufupi lugha za kibantu zimechangia asilimia 70 katika lugha ya kiswahili, kiarabu mchango wake Ni asilimia 30, hivyo kiswahili si kiarabu na wala hahitaji kujua kiarabu ili ufahamu kiswahili! Rejea historia ya lugha ya kiswahili na lahaja.
 
Tazama uliyoyaandika, maneno mangapi hapo👇🏾 yanatokana na Kiarabu?
 

Tenga muda wako, kasome maana ya lugha, asili ya lugha, kazi ya lugha na vile lugha inatofautiana toka jamii moja hadi nyingine ndipo utajua maana ya “lugha fasaha”.

Lugha fasaha ni dhana inayo changiwa na misingi ya lugha husika na si kutoka kwenye lugha ambayo umetohoa maneno, kwa hiyo si sahihi kusema eti ‘huwezi kuongea/kuandika lugha fasaha ya kiswahili’ hadi ujue kiarabu, hiyo ni fikra ya kitumwa inayo kutawala akili yako.

Kiingereza chenyewe ambacho ni “lingua franca” (widely spoken) kwenye zama hizi kimekopa maneno mengi toka kwa lugha mbalimbali na bado kina “english grammar” ambapo humo utakutana na syntax, phonology, morphology etc na ndipo mtu husemwa anaongea/anaandika kiingereza fasaha, hii haina tofauti na kiswahili na lugha zingine pia.

Kama wewe huwezi, usijumuishe na wengine kuwa haiwezekani.

By the way, kauli ya “huko shule mlienda kusomea ujinga” nimenukuu ‘kauli yako’ maarufu katika kukosoa watu lugha.

Kama huu uzi ungekuwa na mantiki kwako mwenyewe usingetumia nukuu hiyo kukosoa watu, kwa hiyo usijaribu kuniaminisha kile ambacho hata we hukiamini.
 
Porojo ndefu haikusaidii. Soma mada upambane nayo.
 
Kuna Kisaahili fasaha na Kisahili sanufu.

Kiswahili fasaha kinafanyiwa makusudi kuuliwa kwa kujidai kuleta eti Kiswahili sanifu na kutuletea maneno mapya ambayo hayana hata ladha kuyatamka Kiswahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…