We have a long way to go. Huyu ndo mkuu wa mkoa anaongea upuuzi tu. Mwenyezi Mungu tulikukosea nini sisi watanzania kama hawa ndo viongozi wetu!Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda ametoa kauli yake juu ya mvutano unaoendelea kati ya Wema Sepetu na team Hamisa Mobetto juu ya jina la TZ Sweetheart. Mkuu huyo alikuwa mmmoja kati ya wageni waliohudhuria Birthday Gala ya mwanadada huyo wa filamu mwenye mvuto nchini Tanzania
Huyu nae chaumbea kweli yanamuhusu nini,kwani amesikia kuwa hamissa anataka kuitwa hivyo au raia ndio wanataka kumuita ,,ndio tushasema Hamisa tz sweetheart
aibu nimeona mimi
aibu aibu tupu
huyu jamaa hana aibu nakwambia
We have a long way to go. Huyu ndo mkuu wa mkoa anaongea upuuzi tu. Mwenyezi Mungu tulikukosea nini sisi watanzania kama hawa ndo viongozi wetu!
Wacha wakamalize vi mb vyao mimi content napata kwenye coment zao.Nakukumbusha: mtaji wa youtube channel ni viewers
huyu angekuwa ndo mume wangu talaka angetoa klwakweli! mm sipendi jaman!bora basi afatilie ht hayo mala liga sijui😡Kwan ukiwa tz sweatest unakunya mwezi? Au kuna kamishen ya jina? Maana siwaelew hawa. Halafu yote n mabitch tu hakuna wa maaaana. Ila hii IPO tz peke
Hili jina anatakiw apewe mwanamke anae inspire wengine kwa kiasi kikubwa kama klyn Mengi, faraja nyarandu, Doris mollel ila Hawa wazee was kudanga ndo wanaligombaniaKwan ukiwa tz sweatest unakunya mwezi? Au kuna kamishen ya jina? Maana siwaelew hawa. Halafu yote n mabitch tu hakuna wa maaaana. Ila hii IPO tz peke