Huwezi ukakusanya kodi umeme ukiwa wa Kibatari

Huwezi ukakusanya kodi umeme ukiwa wa Kibatari

August

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2007
Posts
9,327
Reaction score
5,206
Kiongozi yeyote ili kufikia malengo yake lazima awe na Mikakati. Mojawapo ni uzalishaji wa umeme WA kutosha , ili mitandao ya kukusanya Kodi iwe na ufanisi unaotakiwa, Kwa kutumia vishikwambi kwenye maduka ya mtaani nk. Pia uzalishaji mwingi WA viwandani iwe vikunwa au vidogo inahitaji umeme.

Na umeme wenyewe inafaa uwe wa gharama ndogo kwa watumiaji ili gharama za uzalishaji ziwe ndogo na kumwezesha mzalishaji kutoa bidhaa ambazo bei yake inakuwa ndogo kuliko washindani wake.

Maana kuna watu wanaweza kukuletea umeme WA ipitieli wakifikiria ni Tina kumbe gharama zake ikawa ni kutuonyesha kidonda au kuleta ugonjwa mwingine WA kulipana matrilioni Kwa Jambo la uwekezaji WA millioni 300 hivi.
 
Back
Top Bottom