Huwezi ukamfananisha Eddo Kumwembe na Shaffih Dauda

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Nmeshtushwa sana na mtu mmoja anasema eti Shaffih Dauda anaweza akamfikia Eddo Kumwembe. Nlimtizama nikamwambia kilimanyege kinaweza fikia urefu Kilimanjaro.

Nyie mnaona Shaffih elimu yake tu nayo ndo hivyo tiamaji tiamaji. Uwezo wake wa kujieleza ni batamaji.

Eddo kumwembe anabaki kuwa ni mwanamichezo na mchambuzi bora kabisa nyuma ya Dr leakey. Huyu hana mbishi, Shaffi Dauda apambanishwe na Salome Majogo, maana hata Ali Mayayi ni mzuri.
 
Nimekuona Wewe ndie mji.nga hapo uliposema nyuma ya Dr Leakey.

Huyo Leakey lini amewahi chambua mpira!??
Au mkipewa matukio na historia za nyuma ndio mnaona MTU ni mchambuzi!!

Bongo mchambuzi ni mwl kashasha, Ali mayay na kuna dogo yupo azam. Hao kwa ninaowafahamu.
 
Mrs. Edo kumwembe at work...
Alafu kumbe nawe boya tu, shabiki wa golf unaongelea uchambuzi wa soka.
Dk leakey huyu mzee wa historia ndio mchambuzi bora? Sema yeye ni football historian mzuri ila sio mchambizi. Hujui mpira wala uchambuzi mkuu..
 
Asante sana. Mjadala ufungwe.
 
Niwaambie ukweli tu kuwa mimi Chalii Francisco nipo vizuri sana kuzidi hao jamaa zenu ambao unawaona ndio 'miungu watu' wenu. Wanachonizidi ni miaka na exposure tu.

Tuwe tunachuja mambo na kupenda kujua mambo sio kusubiri ujue Eddo au Shafi kasemaje. Hao nao ni watu kama sisi.
 
Shaffi dauda's side chick fighting for her dick. Shabiki wa netball unazungumzia football sababu tu huwa unamwona basha wako kwenye TV

Mrs. Edo kumwembe at work...
Alafu kumbe nawe boya tu, shabiki wa golf unaongelea uchambuzi wa soka.
Dk leakey huyu mzee wa historia ndio mchambuzi bora? Sema yeye ni football historian mzuri ila sio mchambizi. Hujui mpira wala uchambuzi mkuu..
 
Unazi katika uchambuzi wa soka hauepukiki
Hata ulaya wanazi wapo na uchambuzi wao huenda vizuri,, mfano ni mnazi wa liver Jimy Callagher na mnazi wa man u Garry nevile. Hawa huwezi sikia wakizisema timu zao vibaya na bado ni wachambuzi wazuri
Kibongongo Shafii hana mpinzani, kinachowasumbua wabongo wengi ni wivu wa kike na majungu kwa mtu aliyefanikiwa
Shafii kafanikiwa sana kupitia uchambuzi hapa nchini, majungu kwake hayakosekani
Ukiwa mchambuzi wa michezo, alafu ukawa mnazi wa timu fulani, tayari unakuwa umepoteza sifa ya kuwa mchambuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh! Wabongo mna safari ndefu sana kujua mpira na maana ya neno uchambuz, unaweza kuwa mwandishi wa habar za michezo au soka, lakini usiwe mchambuzi, Shafii ni mwandishi tu, na ana kazi ya kucopy lila kitu toka kwenye website za soka za ulaya, mchambuzi bongo ni Mwal. Kashasha, huyo shafii dauda ni mwandishi wa habar tu, anacopy na kuripot alichoona, kusikia au kusoma sehem
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unaweza ukaanza kusoma na kuona walichoandika watu sehemu na wewe ukacopy then uone kama utafanikiwa!
Shafii ni mwandishi na mchambuzi! Soka halihitaji porojo kama za kashasha
Soka la bongo sgafii hulichambua vizuri je huona na kukocopy kutoka wapi?
Soka la majuu wachambuzi wote bongo lazima hupata habari kutoka vyanzo mbalimbali kutoka majuu then hulichambua

Wewe unataka shafii asichukue habari kutoka sky football then achambue na kutoa ufafanuzi zaidi unataka atoe wapi?
 
Kwa mimi Edo yupo vizuri, shafii ni mzuri pia ila tatizo naliona kwa shafii kitu kidogo anachukua muda mwingi kukielezea
 
Shafii ni bora zaidi naona yupo well connected na dunia ya soka pia amewekeza vzuri hasa kwenye maduka ya michezo na uwakala wa wachezaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shaffi dauda's side chick fighting for her dick. Shabiki wa netball unazungumzia football sababu tu huwa unamwona basha wako kwenye TV
Hujui mpira mkuu, jikite na kazi ya kuangalia rangi ikikauka ukutani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…