mkulu senkondo
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 1,862
- 3,574
Kwahiyo Eddo ndo shemeji yetu au umeamua kunfagilia mwanaume mwenzio kwa mahaba namna hii?Nmeshtushwa sana na mti mmoja kilaza anasema eti shaffi dauda anaweza akamfikia eddo kumwembe. Nlimtizama nikamwambia kilimanyege kinaweza fikia urefu kilimanjaro.
Nyie mnaona shaffi elimu yake tu nayo ndo hivyo tia maji tia maji.uwezo wake wa kujieleza ni batamaji.
Eddo kumwembe anabaki kuwa ni mwanamichezo na mchambuzi bora kabisa nyuma ya dr leakey.huyu.hana mbishi. Shaffi dauda apambanishwe na salome majogo maana hata ali mayayi ni mzuri.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] jaman huyo anajua history ya football tu.Bongo mchambuzi ni Dr. Leaky tu... Hawa wengine wanaziba njaa zao tu...
Huwa namcheki kwenye siasa, huwa anawachokoza wasiojulikana ki style,Ni kweli mkuu,
Zile makala za edo kule mwanasport sio za mchezo aisee.jamaa yupo vizuri sana hata kwenye siasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui mpira mkuu, jikite na kazi ya kuangalia rangi ikikauka ukutani.
Huwa namcheki kwenye siasa, huwa anawachokoza wasiojulikana ki style,
Kwanza mkubaliane sifa ya mchambuzi. Baadaye mwangalie nani mwenyewe sifa hizo.
Ni dhahiri mchambuzi si mtangazaji wa mpira.
Kwangu mimi atakuwa mtu mwenye uelewa mpana wa mpira. Sheria zake zile 17. Anaelewa mifumo ya mpira - 4 4 2, 4 3 3 nk. Anawaelewa makocha na falsafa/mifumo yao.
Anawaelewa wachezaji iwe wa kigeni au kwetu - ubora na udhaifu wao. Nafasi zao uwanjani na ipi mifumo bora kwao.
Mtu mwenye kuyajua haya kwa undani, akajaliwa namna ya kuongea ili watu waelewe, huyo atakuwa mchambuzi mzuri.
Kwa minajili hiyo, naamini Edo ni mchambuzi mahiri zaidi ya Shafii ambaye nadhani ana uelewa mpana kwenye football business.
Dr. Leakey si mchambuzi kwa maana hiyo. Amebobea Kwenye historia na matukio ya mpira. Natamani awepo studio na Edo kila mmoja akifanya sehemu yake.
Kijana George Ambangile anakuja kwa kasi. Mchambuzi mzuri.
Duh....kazi ipo....Nmeshtushwa sana na mti mmoja kilaza anasema eti shaffi dauda anaweza akamfikia eddo kumwembe. Nlimtizama nikamwambia kilimanyege kinaweza fikia urefu kilimanjaro.
Nyie mnaona shaffi elimu yake tu nayo ndo hivyo tia maji tia maji.uwezo wake wa kujieleza ni batamaji.
Eddo kumwembe anabaki kuwa ni mwanamichezo na mchambuzi bora kabisa nyuma ya dr leakey.huyu.hana mbishi. Shaffi dauda apambanishwe na salome majogo maana hata ali mayayi ni mzuri.
Huwa namcheki kwenye siasa, huwa anawachokoza wasiojulikana ki style,
Endelea kukimbilia chaka la mpira, ila tumeshajua sio eneo lako.Hujui mpira mkuu, jikite na kazi ya KuCHUMA MCHICHA.
hahaha we jamaa ni kiboko eti shafii yupo well connected na dunia kuliko eddo? fuatilia vizuri mkuuShafii ni bora zaidi naona yupo well connected na dunia ya soka pia amewekeza vzuri hasa kwenye maduka ya michezo na uwakala wa wachezaji.
Sent using Jamii Forums mobile app