Huyo jamaa vipi?

Indume Yene

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
2,962
Reaction score
721
View attachment 20514Jamani nimekutana na hii picha samuwea nikaona niitundike hapa ili tujue kulikoni.
Angalia huyo jamaa nyuma ya Shein, alikuwa anashika nini vile?

 
itakuwa ni bomu la machozi hilo . teh teh teh
 
nadhani ilikuwa ni missed call ya nyumba ndogo
 
Huyu jamaa alikuwa anarudisha simu anaitwa oscar a .k.a chuma ndo mlinzi mkuu wa rais wa smz na ndie aliyepata ajali na mh sokoine.
 
Simu kazini ndo maana wanapigwa makofi viongozi wenu:smile-big:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…