Huyo Molinga wa Yanga anafaa kuwa bodyguard wa Manara

hahaaa MOLINGA wa yebo VS COLIBARY wa mikia= wote wanapenda nywele za embaruti
 
Mtampa tu heshima yake siku mtakapo ingia kwenye 18 zake. Na kwa bahati mbaya beki zenu zote za kati ni majanga matupu msimu huu.
Beki majanga matupuuu!!!Dah,Yanga hakuna watu wanaojua mpira kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…