P h a r a o h
JF-Expert Member
- Mar 25, 2024
- 785
- 1,413
hii picha imepigwa mwaka 1960, kama huyo msichana alikua na hata na miaka 20 tu, saivi ni bibi ana miaka 84,
muda unapaa
muda unapaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nadhani ilikua black and white ila saivi kuna namna ya kuzipa rangiHio picha imetoka bomba sana kuanzia rangi hadi uangavu, sijui walitumia camera gani miaka hio ya 1960.