P h a r a o h JF-Expert Member Joined Mar 25, 2024 Posts 785 Reaction score 1,413 Nov 16, 2024 #1 hii picha imepigwa mwaka 1960, kama huyo msichana alikua na hata na miaka 20 tu, saivi ni bibi ana miaka 84, muda unapaa
hii picha imepigwa mwaka 1960, kama huyo msichana alikua na hata na miaka 20 tu, saivi ni bibi ana miaka 84, muda unapaa
and 100 others JF-Expert Member Joined Feb 3, 2023 Posts 3,707 Reaction score 12,367 Nov 16, 2024 #2 Hio picha imetoka bomba sana kuanzia rangi hadi uangavu, sijui walitumia camera gani miaka hio ya 1960.
Hio picha imetoka bomba sana kuanzia rangi hadi uangavu, sijui walitumia camera gani miaka hio ya 1960.
P h a r a o h JF-Expert Member Joined Mar 25, 2024 Posts 785 Reaction score 1,413 Nov 16, 2024 Thread starter #3 and 100 others said: Hio picha imetoka bomba sana kuanzia rangi hadi uangavu, sijui walitumia camera gani miaka hio ya 1960. Click to expand... nadhani ilikua black and white ila saivi kuna namna ya kuzipa rangi
and 100 others said: Hio picha imetoka bomba sana kuanzia rangi hadi uangavu, sijui walitumia camera gani miaka hio ya 1960. Click to expand... nadhani ilikua black and white ila saivi kuna namna ya kuzipa rangi