Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Huyo mtoto ameokotwa Mozambique (Msumbiji) akiwa na Mmalawi anapiga kelele kwamba huyo mtu aliyemchukua hamfahamu. Mtoto anaongea kiswahili pure na anasema kwao Mbeya but haijulikani ni Mbeya sehemu gani tumeombwa ku-share kwenye magroup kama kuna uwezekano wa kumpata mhusika wa mtoto.