Huyo mtoto ameokotwa Mozambique (Msumbiji) akiwa na Mmalawi anapiga kelele kwamba huyo mtu aliyemchukua hamfahamu

Hao askari wa uhamiaji kwanini wadimbane huyo mmalawi aseme amemtoa sehemu gani, swala la kuongea kiswahili pure si hoja kwa wapo watanzania wanaoongea kichina pure. Huu ujinga wa kudhani kuwa Msumbiji, Malawi, Comoro, Kenya, Zambia, Uganda ukiongea kiswahili pure utakuwa umekiiba tuondekane nao kwani hata huko Mbeya wapo watanzania wengi hawakijui kiswahili kabisa.
 
Unataka kusema unaweza kukuta mganda anaongea kiswahili kilichonyooka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…