Kusonga mbere siyo!View attachment 730790
Huyo ndie Mwanamitindo wa kitaifa na kimataifa zaidi anaitwa @noelgiotz wa tz wote saport yako ndio itamfanya azidi KUSONGA mbere zaidi ku like sana kazi zake na kupost sana kwenye pejizenu wapendwa wangu hapo utakuwa unampa nguvu[emoji92] zaidi ya kufanya kazi zake anawapenda nawapenda pia
Source: Instagram
haha kua uyaone mkuu.[emoji23][emoji23] kavaa suti imebana kama anataka kupaa
Hiyo ni suti kumbe ? Mimi nilikuwa najiuliza ni kitu gani hichi amevaa[emoji23][emoji23] kavaa suti imebana kama anataka kupaa
Duu ww jamaa alikudhulum nini? OntarioHuyu sio Ontario kweli maana ndo anapenda vipens kama dogo langu Janu