Huyo ndiyo Wema Sepetu, Yetu macho na masikio tu.

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
60,050
Reaction score
104,466
SHABIKI maarufu wa Yanga, Steven Mwamwala, ambaye alianika hisia zake za kutaka kuonana na msanii maarufu wa filamu hapa nchini, Wema Sepetu, leo wanatarajiwa kukutana ana kwa ana.

Mwamwala, ni shabiki aliyejipambanua kwa wapenzi na mashabiki wa soka ndani na nje ya nchi, baada ya kumwaga machozi uwanjani timu yake ya Yanga ilipokubali kipigo cha mabao 5-0 kutoka kwa watani zao Simba.

Shabiki huyo, Julai 28, mwaka jana, siku ya fainali ya Kombe la Kagame, ambapo Yanga waliibuka mabingwa kwa kuwafunga Azam FC, mabao 2-0, alivua jezi yake na kubaki na fulana iliyoandikwa ‘I Love Wema Sepetu Ubingwa huu ni kwa ajili yako', na kuwaacha hoi wadau na mashabiki waliokuwepo Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam siku hiyo.

Shabiki huyo, alibainisha kuwa anamzimia msanii huyo wa mitindo kutokana na kazi zake, hivyo anatamani siku moja aweze kumuona ana kwa ana tofauti na sasa anamshuhudia kwa njia ya runinga.

Akizungumza na Tanzania Daima, Wema alisema, amepata taarifa za shabiki huyo siku nyingi, ila hakuzipa uzito kwa kuwa hakuamini, kwani aliona ni kama shabiki wake tu anayekubali kazi zake.

"Niliambiwa na watu kitu kama hicho, sawa siwezi jua anataka kuonana na mimi aniambie nini, basi kesho nitaonana naye ofisini kwangu," alisema Wema.

Kwa upande wake, shabiki huyo alishukuru kuwezeshwa kukutana na Wema, angalau aongee naye kidog
 
Watacheza muvi moja tu wala usipate wivu mleta post
 
Haah mbona hainashida na wema si anatoa mpaka na wema wake so sio mbaya mamauruma akimu urumia uyu.
 
mwacheni dada wa watu,labda huyo shabiki wa yanga anaweza kuziba pengo la daimond..........,
 
Mara jamaa kapewa mzigo,mara anaanza kufuatwa na yale magazeti yao,steven maarufu sasa.
 
hata mie wema napenda nikuone sana tu na nakufagi kinoouma but mi si me ni ke
 
na akipewa lazima alie maana kwa kulia yule ndo mwenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…