Huyo ndo Rambo

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Muigizaji wa Filamu Sylivester John Stallone Rambo
Anatajwa kua na sura pamoja na rangi yenye asili ya Uarabu,Uzungu,Uasia, nk.
Yaani Rambo anaweza kuchangamana na waarabu nakuonekana mwarabu, Wazungu na kuonekana hivyo, watu wa Asia na kuonekana hivyo.
Huyo ndo Rambo
 
Kuna gazeti nilisoma kitambo lilikuwa na kichwa cha habari kilichosomeka kuwa "RAMBO NI MVIETNAM(anasili ya huko)"
 
kwa hiyo ni mpemba?
 

Rambo au
Romboromboromboro????!!
 
Ni miongoni mwa wale Red Indian wa Marekani kipindi hichooo yeye ni masalia
 
Ila tuache utani, Rambo ana mabinti wazuri munooooooo[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Duh, asili yake haieleweki
Kama ambavyo Yesu haeleweki, mara Mwana wa Adam, Mwana wa Daudi , Mwana wa Mungu , Mfalme wa Amani ( alidai tena hajaleta Amani Bali upanga) Mungu mkuu, Mungu pamoja nasi , Emanuely , mara Mikael , mara Yesu mnazareti n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…