Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Hahahhah mkuu umeua.Siku hizi wajf tunafundishwa maisha na paka sio
Zamani huko Tunduru nilisikia Simba walikuwa wanagonga hodi kumbe ni kweli!
Kama umekaa sana na paka hiyo sio kitu ya kushangaa sana, hapo lazima ndani watakuwa wanakula msosi nyau lazima afanye vyovyote vile mlango ufunguliwe aingie