Huyu AHMED ALLY wa Simba Kweli 'KIRAKA'

Huyu AHMED ALLY wa Simba Kweli 'KIRAKA'

Kinyago tukichonge wenyewe halafu kitutishe kweli? Mwambieni kwanza atafute TIN
hapa unajisifu kinyago umekichonga mwenyew,maana yake ni kuwa ni ujinga mlioutuma wenyew anaoufanya sasa iv ambao miaka minne uliojiliza huko juu hukuwa unauona!! waswahili,wabongo..
 
Kunywa maji ya baridiiiii
 
Manara ana uzoefu mkubwa wa kusema kwenye media.

Huyu Ahmed Ally asije akajutia huko mbele kama Manara wakimruhusu na yy aendelee kuongea

Na Manara huwa hana uchaguzi wa silaha kwenye vita ya maneno, anaweza akakupiga na kitu chenye ncha kali kichwani na ukafa hapo hapo
Alichokisema ni ukweli, Manara hana sifa ya kuwa Afisa Habari kwakua si taaluma yake kama ilivyo kwa hao wawili wengine.

Kutokana na uwezo wake wa kuongea na kuchamba si vibaya kumweka kwenye group la wahamasishaji kama alivyodai Ahmed Ally.
 
Alichokisema ni ukweli, Manara hana sifa ya kuwa Afisa Habari kwakua si taaluma yake kama ilivyo kwa hao wawili wengine.

Kutokana na uwezo wake wa kuongea na kuchamba si vibaya kumweka kwenye group la wahamasishaji kama alivyodai Ahmed Ally
Ona na ww ulivyo mbumbumbu, Talent ya Manara ni kuongea na ndio maana anaajiriwa kama Msemaji na sio Afisa Habari ila Ethics za Media officer anazijua ni vile hajafanya kazi kwenye TV and Radio

Hata Ahmed Ally anajua ukitaka umaarufu wa haraka ni lazima Umzungumzie Haji S Manara na ndio maana amejiariwa hata wiki haijaisha katupa vichambo vyake kwa Manara kama mara 100 hv, na Manara hata hajamjibu chochote coz anajua mtt mdg anataka mbeleko ya umaarufu
 
Kuna haja ya kunitusi kabla ya kutoa naomi yako?

Ukisikiliza hiyo interview hakuna sehemu yoyote Ahmed Ally kamkashifu huyo mume wenu, alichokisema ni kamba si sahihi kumuita Manara afsa habari bali aitwe mhamasishaji. Sasa kama wewe unaona Ahmed alikosea unatakiwa utueleze ni lini Manara amekuwa na sifa ya kuitwa Afsa habari (kumbuka cheo cha Ahmedy Ally pale Simba ni zaidi ya usemaji yaani Spokes man)

Au tueleze hapa ni Lino Manara amekuwa Afsa habari hapo Yanga , maana nijuavyo mimi Bumbuli ndio top pale hiyo manara (mume wako) ni mropokaji tu na mchangamshaji aliyepenyezwa pale kwa msaada wa GSM.
 
Tatizo unaongea sana mkuu halafu point haionekani huyo Ahmed Ally interview nzima anatupa vijembe kwa Manara, kwahyo huoni kama ameanza kutafuta upepo wa kupitia kwa Manara

Manara kazi zake zipo wazi kwa kila mtu na anajulikana vzr wala hatuhitaji mjadala juu ya hilo
 
Hua najiuliza hivi ile mishabiki ya simba inayo ingiaga na midoli ya kitoto ya 'NDEGE' uwanjani pale taifa na viwanja vingine alafu eti wanakua wanaonyesha jinsi ndege inapaa angani, hawa watu hua hamnazo? ndio kushangilia gani huko? au ndio msukuleization inafanya kazi? Wakati watu wanashangilia wanaimba nyimbo za timu yao mawatu mengine yamebebelea midoli ya ndege za kuchezea watoto
 
Hujasikia tangazo la jana,kama hujalipa 29000 za GSM hurusiwi kuchati
 
Tatizo unaongea sana mkuu halafu point haionekani huyo Ahmed Ally interview nzima anatupa vijembe kwa Manara, kwahyo huoni kama ameanza kutafuta upepo wa kupitia kwa Manara

Manara kazi zake zipo wazi kwa kila mtu na anajulikana vzr wala hatuhitaji mjadala juu ya hilo
Ahmed kasema Manara hapasiwi kuitwa Afda habari, kama unahisi kakosea wewe ndo utuambie hapa tangu lini ni Afsa habari?? Kama si Afsa habari basi Ahmed hakukosea.
 
Kwani maana ya Afisa habari ni nini?

Tuanze hapo kwanza Nisije nikaanza kuargue na mtu asiye jua kitu
 
Ohoo naona unalazimisha kalio lako kutafuna muwa na wakati sio kazi lilioumbiwa.

Manara alisomea wapi hio uafisa habari? Au mtu akijua kuongea tu kama Manara tayari anakuwa na sifa za uafisa habari?? Basi hii Tz tunao wengi sana.
 
Oooosh! Niko na argue na mtu asiye elewa na wala kujua chochote

Niko nje ya huu mjadala
 
mnaumizwa nyie na mambo ya bugatti,yy anakula maisha tu
safari njema

A69D674F-D1CD-42FD-90A9-AAC44AE97B5E.png
 
Back
Top Bottom