Huyu alikua man of the match kwangu, kwako je?

MCHEZAJI YANGA AMCHAGUA MKUDE KUWA MCHEZAJI BORA MECHI YA WATANI WA JADI




Kiungo wa klabu ya Simba Jonas Mkude jana amechagukiwa kuwa mchezaji bora wa mechi katika timu yake, na hii ni kwa mujibu wa kura zilizopigwa na mashabiki kupitia kurasa za mitandao ya kijamii.

Mkude alitangazwa kushinda nafasi hiyo mapema baada ya mchezo dhidi ya Yanga kumalizika kwenye Uwanja wa Taifa jana ambapo Simba walifanikiwa kushinda kwa bao 1-0.

Mbali na kuchagulia na mashabiki, mchezaji wa zamani wa Yanga, Sekilojo Chambua, ameeleza kuwa Mkude ndiye mchezaji bora pia kwake, kutokana na namna ambavyo alicheza jana Uwanjani.

Chambua amesema kuwa Mkude alikuwa akitengeneza mipira mizuri katikati mwa Uwanja na kuwalisha wenzake, huku akishindwa kuipoteza bali aliihimili vizuri.

Chambua amempa nafasi ya ubora Mkude katika mchezo baada ya kuiongoza safu ya kiungo vizuri na kuifanya iwe bora zaidi dhidi ya watani zao Yanga.
 
Man of the Match
Mkude + Simba
= Mkude Simba [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Kelvin Yondani aliwakaba mikia adi wameanza kulalamika eti afungiwe....,afungiwe kwanza yule mkia aliye mpiga kipepsi chirwa!
 
mate ni mate kiwiko ni kiwko .sisi tumeweka ushahidi na wewe weka
Kelvin Yondani aliwakaba mikia adi wameanza kulalamika eti afungiwe....,afungiwe kwanza yule mkia aliye mpiga kipepsi chirwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…