Huyu alikuwa ni Malaika 100%

Huyu alikuwa ni Malaika 100%

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,106
Reaction score
12,916
Takriban miaka 15 imepita tokea nilipomuona malaika LIVE katika mwili wa binadamu.......

Ilikuwa ni alfajiri muda wa saa kumi na moja nipo mitaa ya Kariakoo kwa kipindi hicho shughuli zangu nilikuwa nafanyia Kariakoo.

Basi kama kawaida huwa ninatoka nyumbani alfajiri kabla foleni kuchangamka halafu nakwenda kukaa kwenye vijiwe vya kahawa nasikiliza porojo za hapa na pale huku nikistaftahi na gahwa na kashata.

Siku hiyo nakaribia kijiwe changu cha gahwa akatokea msichana mrembo mbele yangu,,,,yaani nikisema mrembo ni mrembo kweli kweli....sasa sina hili wala lile akaachia bonge la tabasamu, mtu mzima nikajikuta kama naweweseka vile nataka kumsabahi sauti ikakwama.

Nikawa kama nimepigwa na bumbuwazi nikageuka kumwangalia nikaona anatembea kwa madaha,,,,,mashallah nikaamua kumfuata,,,,,anatembea anageuka huku anatabasamu,,,,,nazidi kumfuata anakata mitaa, mimi nipo tu kama vile ng'ombe anakwenda machinjioni,,,

Baada ya kutembea kwa kitambo nikamuona anaingia Kanisani,,,na mimi nipo tu mpaka ndani,,humo ndani watu walikuwa wanaimba wimbo wa kuabudu na mimi nikajikuta naabudu kwa hiari,,,,sina hili wala lile kabla ya Ibada kuisha nikamuona anatoka ......sasa cha ajabu akasogea kabisa sehemu niliyokuwa nimekaa......mie huku nimeduwaa akaninong'oneza........"Usiache kuja hapa'........

Kwa kifupi kesho yake nikaja lakini sikumuona......kila mara nikawa nawahi angalau nimuone...wapi......
Na huo ndio ukawa mwanzo wangu wa kusali ibada za MORNING GLORY........Kila mara nikitafakari kwa kina najua kabisa yule hakuwa mwanadamu,....na toka nimeanza kusali ibada za Morning Glory nimepata mafanikio sana maishani,,,,I confess uhuni ni humu jf tu, kwa kuzugia lakini nipo tofauti kabisa na haiba niliyonayo humu,
TRUST ME!!
 
Katika ama Nagona au Mzingile (vinovela viwili vya Kifalsafa vya Euphrase Kezilahabi), kuna kisa kinachofanana na chako hiki - japo mle aliyeongoza njia kwenda kanisani hakuwa binti mrembo bali kichaa aliyekuwa anatafuta mahali pa kujisaidia. Baadaye watu walianza kumwabudu wakiamini kuwa alikuwa ni mtakatifu na kwamba ule ulikuwa ni muujiza!
 
Takriban miaka 15 imepita tokea nilipomuona malaika LIVE katika mwili wa binadamu.......

Ilikuwa ni alfajiri muda wa saa kumi na moja nipo mitaa ya Kariakoo kwa kipindi hicho shughuli zangu nilikuwa nafanyia Kariakoo.

Basi kama kawaida huwa ninatoka nyumbani alfajiri kabla foleni kuchangamka halafu nakwenda kukaa kwenye vijiwe vya kahawa nasikiliza porojo za hapa na pale huku nikistaftahi na gahwa na kashata.

Siku hiyo nakaribia kijiwe changu cha gahwa akatokea msichana mrembo mbele yangu,,,,yaani nikisema mrembo ni mrembo kweli kweli....sasa sina hili wala lile akaachia bonge la tabasamu, mtu mzima nikajikuta kama naweweseka vile nataka kumsabahi sauti ikakwama.

Nikawa kama nimepigwa na bumbuwazi nikageuka kumwangalia nikaona anatembea kwa madaha,,,,,mashallah nikaamua kumfuata,,,,,anatembea anageuka huku anatabasamu,,,,,nazidi kumfuata anakata mitaa, mimi nipo tu kama vile ng'ombe anakwenda machinjioni,,,

Baada ya kutembea kwa kitambo nikamuona anaingia Kanisani,,,na mimi nipo tu mpaka ndani,,humo ndani watu walikuwa wanaimba wimbo wa kuabudu na mimi nikajikuta naabudu kwa hiari,,,,sina hili wala lile kabla ya Ibada kuisha nikamuona anatoka ......sasa cha ajabu akasogea kabisa sehemu niliyokuwa nimekaa......mie huku nimeduwaa akaninong'oneza........"Usiache kuja hapa'........

Kwa kifupi kesho yake nikaja lakini sikumuona......kila mara nikawa nawahi angalau nimuone...wapi......
Na huo ndio ukawa mwanzo wangu wa kusali ibada za MORNING GLORY........Kila mara nikitafakari kwa kina najua kabisa yule hakuwa mwanadamu,....na toka nimeanza kusali ibada za Morning Glory nimepata mafanikio sana maishani,,,,I confess uhuni ni humu jf tu, kwa kuzugia lakini nipo tofauti kabisa na haiba niliyonayo humu,
TRUST ME!!
Tukikuwahisha hospitali utapona?
 
Kwanini siwezi kukaa kanisani hata dakika saba tu?
 
Back
Top Bottom