Huyu Amber Lulu anaimba poa sana

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Zamani nilimdharau sana niliona kama anadandia fani. Ila siku hizi naona anaimba vizuri sana na biti zake nzuri. Ila mashairi aombe wamtungie, yamekaa kiaunderground sana.
 
Jina la wimbo limemponza unaitwa jini kisirani hata sijahangaika kupoteza mb zangu
 
Yuko Vizuri ila kwenye majina ya Nyimbo bado anahitaji kuelimishwa
 
Mpka nimsikie akiimba live ndo
Nta mpka like.
Watu Kama akina nandi, ruby vanesa nisha wasikia wakiimba live.
Yaan ni mule mule Kama kwenye track.
 
Ile watakoma niliipenda sababu ya shemeji yenu alikuwaga anaipenda anajirecord video kwenye gar anantumia had raha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…