ushauri kidogo muwe mnasema kabisa o-level au a-level maana siunaona mwenyewe matokeo yametoka kwa mpigo
nilirudi kwenye maaDA a-level hiyo ni HGK= CDD ....ambayo ni division 2.11 huyo kwa kozi za ARTS anapata kozi nyingi tu ukizingatia uwingi wa vyuo kwa sasa .. ila kama unawaza kuhusu MKOPO inabidi ucheki HELSB/LOAN BOARD uangalie vigezo wanavyotumia mwaka huu kutoa mkopo ..ila kwa kozi anaweza soma
sociology,PSPA, BA EDUCATION, BAGEN, BED , LAW, NK....
kama ni o-level ataenda wapi?
kwa O-LEVEL nipe matokeo yake ya masomo yake aliyofanyia mtihani tutashauriana hilo halina taabu..
hii ni div 4.31 huyu anaweza soma certificate course CBE, TIA ,IAA, IFMAna C 1, D 2 na hayo masomo mengine amepata F
Ana C 1, D 2 na hayo masomo mengine amepata F