Huyu anafaa kuwa mke/mme wako

Huyu anafaa kuwa mke/mme wako

musicarlito

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2020
Posts
368
Reaction score
556
Msitofautiane sana...mfano elimu,ukwasi,elimu,mila na desturi,imani n.k

Awe rafiki yako...mnaweza jadili mambo ya michezo,cinema au burudani mkafurahi mkiwa wawili tuu tena kwa mda mrefu na mkafurahi sana

Awe mchamungu...huhitaji kumchunga au kumweleza mtu kila mara kuhusiana na jambo lisilofaa,mfano mambo ya kuwa mwaminifu katika mahusiano au Mali zenu,dhamiri yake ikiwa hai kutokana na missing ya imani aliyojengwa nayo


Baada yaa hapo umepata mke/mume mwema
 
Ndugu

Hakunaga mke na mme mwema.

Ndoa ni challenge ya kuonesha ukomavu wenu kama watu wazima mnao iheshimu tasnia hio ya kuacha kila kitu na kuwa pamoja.

Too bad, wengi hawawezi hilo
 
Back
Top Bottom