Huyu ananitania au ananipima

Subira yako ndo iliyokuponza ngojangoja waonekana zoba! Akufukuzaye hakwambii toka utajionea mambo yanvyoenda.......... timuka mbio utapata mwingine ! Je were u or are u using condoms?
Kimbweka, nilikuwa nasubiri mpaka muda muafaka kwani kusubiri si kupo?
 
ningekuwa mimi ndo huyo jamaa wala nisingemfanyia vitimbwi.kama amekataa kuvua mimi nakubali tu!WAKINA ELIZA NDO WATAKUWA CHAKULA CHANGU😀

Usimsahau na matroni FATUMA na HALIMA wetu! btw ulikumbuka kukamata namba zao?
 
Sikubishii, ila nataka dada anithibitishie kama mtarimbo wa jamaa haujalala doro! Miaka miwili kwa dume rijali si nchezo! Afu linatinga saa sita usiku kwa mshiki eti kupiga stori tu? Ina meki sensi kweli hapo?
Kaka ina mek sensi maana tulikuwa na malengo yetu, sasa kwanini anikimbie si aseme ukweli tu nisipokula tundi siendelei na relationship.
 
Kaka ina mek sensi maana tulikuwa na malengo yetu, sasa kwanini anikimbie si aseme ukweli tu nisipokula tundi siendelei na relationship.

Sasa jibu swali: Mtarimbo wake umelala doro au laa? Mbona unasepa hili swali MUHIMU?
 
Lily my dear sister, delicate investment katika maisha ni FEELINGS, zikifilisika zinaumiza sana kwa sababu the pain is within....

Ushauri wangu

1. Mahusiano yetu hatumshirikishi Mungu, Je mnaombaga na kufunga ili Mungu aonyeshe kama huyo ndiyo aliye wako na kama sio wako ambadili awe wako?

2. Pia siku zote wa kuweza kutatua tofauti zenu ni nyie wawili na Mungu kati yenu.

3. Cheki usiwe ww pia una wkness ambazo zina mpush shemeji bila wewe kujua na yeye kusema.
 
Kaka ina mek sensi maana tulikuwa na malengo yetu, sasa kwanini anikimbie si aseme ukweli tu nisipokula tundi siendelei na relationship.

Mi naona amekimbia baada ya kumnyima kuonja tunda
 
mpwaaz,
huyu dada ako ndo alichemka!inaonekana jamaa amechoka kusubiri!dada ako alipaswa kumvulia jamaa apige mashine
Duu,a super non-sense i ever heard before,jaribu fikiria hizo thread zinasomwa na kina nani then ndio uzipost,coz sometimes your threads can show us who you really are,kuwa makini unapokuwa na watu makini!!
 
Hahaha! Wikinesi ni kutokumpatia bwashee matusi! Basi!
 
Duu,a super non-sense i ever heard before,jaribu fikiria hizo thread zinasomwa na kina nani then ndio uzipost,coz sometimes your threads can show us who you really are,kuwa makini unapokuwa na watu makini!!

Kwenye red: LOL! How old are you? Are you he/she?
Kwenye blue: Sasa umeshamjua? Try him then!
 
Thanks Nguli kwa ushauri mzuri.
 
Utaufanyia kazi? Kwa huyohuyo au kwa mwingine?
Kaka hajatoa ticket bado nitakazania maombi na nitasimama na msimamo wangu wa mwanzo, maana malengo tulipanga sisi wawili iweje tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…