Huyu anayeitwa Apocalypse Bella ni nani

Kibundi wa getto

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
455
Reaction score
877
Wakuu

Mimi naomba kufahamishwa kuhusu huyu Apocalypse Bella,ni mtu wa namna gani.Anajishughulisha na nini,na raia wa nchi gani.

Mara nyingi huwa namskia Christian Bella akimuimba Sana,na yeye anajiita self billionaire.
 
Tumuulize sepenga maana alipita kidogo
 
Ni mfanyabiashara wa kikongo. Na mmoja wa 'mapedeshee' wa muziki huu wa dansi.
 
Bwana ake wema sepetu makazi yake kempisky ilaa maisha yake 24/7 yupo gym
 
Reactions: Gef
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…