Tetesi: Huyu anayetudanganya Kutwa kuwa Fei Toto anakuja Simba SC ni nani? Haya sasa 'Kuleni Chuma' hiki kuwa kwa 85% anarejea Walikomdharau na Kumnyanyasa

Kwa 90% wameshamalizana nae na Mshahara wake wa sasa huko ni 'Kufuru' na Jumba la Kifahari Mbweni Ufukweni.
Kwenye dirisha lipi la usajili mkuu? Icho kitu akipo Azam watamuuza nje ya nchi labda mwishoni mwa msimu huu na sio kwa timu yoyote Ile hapa Tanzania,,Wachezaji waliosajiliwa yanga ni Israel mwenda na Jonathan ikangalombo ndio watatangazwa mda mfupi ujao kabla dirisha alijafungwa saa 6 usiku
 
Dirisha linafungwa lini
 
1736965961419.jpg
 
Back
Top Bottom