Huyu angekuwa msemaji wa ikulu ya jk

Huyu angekuwa msemaji wa ikulu ya jk

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,131
Reaction score
937
kwa jinsi anavyoweza kukumbuka mambo ya zamani utaadhani makumbusho ya Taifa hata kwa potufix bado anaonekana anauelewa wa hali ya juu. MBWEMBWE TUPU.


 
Last edited by a moderator:
Wabongo ndiyo tunapenda hivi, kudanganywa na fake figures ili tuwe impressed.Mtu akikwambia "I don't know that off the top of my head" au "let me get back to you on that" tunaona hatariiii.

Akikudanganya na mifigure ya bajeti isiyotamkika, unaonaa muruuuuuua, huyu ndiye anajua kazi.
 
Kweli alitakiwa apewe nafasi hiyo,kwani kwa fix ajambo???
 
Back
Top Bottom