Wabongo ndiyo tunapenda hivi, kudanganywa na fake figures ili tuwe impressed.Mtu akikwambia "I don't know that off the top of my head" au "let me get back to you on that" tunaona hatariiii.
Akikudanganya na mifigure ya bajeti isiyotamkika, unaonaa muruuuuuua, huyu ndiye anajua kazi.