Huyu aslay anakwama wapi?

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Huyu kijana mwaka Jana alifanya vizuri na ngoma Kali alizokuwa akitoa mpaka ikafika kushindanishwa na diamond lkn mwaka huu nimesikia ametoa ngoma tatu lkn zote zimefanya vibaya azivumi mtaani kabisa tofauti na mwanzo wapi huyu kijana anakwama?
 
Ni mwaka juzi ndo alikuwa wamoto.

Mziki ni biashara sasa kama biashara zingine na biashara zina vitu vingi ndani yake.
Nadhani shida iko kwenye management.
Kibongo bongo tukiachana na WCB, management zingine bado sana.

Wanahitajika Ma-managers aina ya Sallam sk wawe wengi sana ndo tutapiga hatua .

Kuhusu kipaji jamaa yko vizuri sana.
 
Una maanisha Alslay yule wa Yamoto Band?
 
Kila anaye shindanishwa na domo huwa habaki salama.
Mwangalie darassa.
 
Alipewa nguvu za soda na clouds ..ukipaishwa na clouds ujue kuna siku watakushusha Vibaya sana ..wale sio watu wazuri wanafanya kila wawezavyo kuyiuwa wcb lakini it s seems impossible
 
Domo kashindikana.
Walianza darassa
Mara mavoko
Blue kamchokoa wee mwisho hakuna lolote.
Kaja ommy dimpozi kamchokoa chokoa apate kiki wapi.

Huyu mwingine kabaki tu kunung'unika radion kuwa jamaa ananunua viewers.
Domo anawahenyesha kwelikweli , wamwache tu jamaa
 
Domo kashindikana.
Walianza darassa
Mara mavoko
Blue kamchokoa wee mwisho hakuna lolote.
Kaja ommy dimpozi kamchokoa chokoa apate kiki wapi.

Huyu mwingine kabaki tu kunung'unika radion kuwa jamaa ananunua viewers.
Angalia namba 7 hapo ww acha kujitekenya huyo ndo MUME WA WCB.
 
Huyo mdo mume wao anawakimbiza na nyimbo ya 2014 huko hahahaaaa
We jamaa akili huna Sasa hapo anawakimbiza au anakimbizwa?yaani unafurahia ngoma ya kiba Tena ya zamani kushika no7 wakati ya mwanaume inashika no1
 
We jamaa akili huna Sasa hapo anawakimbiza au anakimbizwa?yaani unafurahia ngoma ya kiba Tena ya zamani kushika no7 wakati ya mwanaume inashika no1
Nataka ujue tofauti ya ALI na huyo mnaetaka kumpa u Mungu ntu wa hii industry bwege we..kuna kunguni mwenzio kaandika kiba hata kutunga vitu vinavyoeleweka hawez nkamuwekea hilo bandiko...nyimbo zenu bigijii bro dk mbili hamna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…