Huyu Baba Kiboko..

This has nothing to do with money. Kwani hela ya kodi anayopata toka kwa binti yake ina tofauti gani na kodi toka kwa mtu mwingine?
 
Uhuru gani?

Hebu msome PJ hapa chini

 
ni nyumbani afu bado alipie???kumbuka huo utamaduni upo western countries ambapo wenzetu ukishafikisha 18 yrs ka bdo upo home unakua unalipa kodi lakini bongo hatujafika huko jamani loooh

Ndo tunakoelekea huko...si unaona huyu baba ameanza........
 
Kwa upande mwingine sio vibaya...kama kuna chumba ambacho mpangaji yeyote angekaa, why not binti yake?? Ila tu binti hatakuwa na uhuru...kama angeishi sehemu nyingine.

Labda ndo huo uhuru baba hataki binti yake awe nao kaamua kutumia gia ya kumpangisha lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…