ahaaaaaa dah ile pande ya mutu ilikuwa ni taabuKumbe na nyinyi huwa mnatamani km sis wanaume? Sasa mbona tukiwatokea mnaringarnga
hujaenda singida?Kama haujui ilichofanya wewe ni lijinga la mwisho.
Unajaribu kubadili nyeusi kuwa nyeupe??
Nyumbu Mkubwa wewe
Dont generslize. Kila mtu sna namna yake ya kulinda mali zake. Watu wengi wana ile mentality kwamba kila me ana mchepuko. La! Hiyo nakataa kbs. Wapo waume na wske wengi sana ambao nivery decemt. Usichukulie kila kitu for granted. Km wewe sio mwaminifu wapo wengi tu waaminifu ukitaka kuwajua nitaweza kutajia lati ya hao2 marafili zakoKumbe bado haujahamka tu, Bongo hii? Usikute wewe ni makombo yake wa 4,5,6....ukiona jamaa hana demu wa nje hapa Bongo basi utambue kuwa huyo jamaa uchumi unampiga chenga na yupo anasubiri tu siku apate hela amiliki nyumba ndogo yake au la aopolewe na jimama zungu la unga atunzwe. Katika mapenzi never think kuwa uko peke yako haswa hapa kwetu Afrika. Always leave the option kuwa there's a day utasalitiwa tu ili ikija tokea usiwe na presha ya kujiua. LAZIMA utasalitiwa tu, usijidanganye.
anawashwa na lowassa disease atapona soonImefanyaje....???
endelea kumtega ipo cku ataingia mwnyewe ktk anga zako kama yy ni rizki yako.ukiona mitego yko haifanikiwi bac jua kuwa kisicho riziki hakiliki hataufanyeje!Sijui nimfanyie nini jamani. Handsome la nguvu side burns zinavutia maana ni safi saa zote. Akivaa nguo zinamfit vzr sana. Tukitoka kila mtu jicho. Sipendi akasirike jmn nitaumia sana. Lakini kuna jambo moja lanifurahisha nikiwaona hao wadada wanavyomtumbulia macho roho yangu mwaaaaaaa natamani waendelee tu kumla kwa macho jmn na si vinginevyo noooooo jmn msimguse pse. Nampenda mimi. Akinishika mkono mwili mzima unakuwa kama jelly kwishney. Dada M na L pse dont look at him like that with ur rolled eyes
Pole sana na huo mjina wako mbaaaya ndio mana comments zako mbaaayaaaa.. Nashukuru kuwa umesoma uzi wangu na nimejua kuwa umekuumiza sana sababu ya wivu. Pole sio kosa langu wala lakoanawashwa na lowassa disease atapona soon
umeniquote vibaya it was not your commentPole sana na huo mjina wako mbaaaya ndio mana comments zako mbaaayaaaa.. Nashukuru kuwa umesoma uzi wangu na nimejua kuwa umekuumiza sana sababu ya wivu. Pole sio kosa langu wala lako
Pole but it was under ur numeniquote vibaya it was not your comment
pole for that, but it was under ur name!!"umeniquote vibaya it was not your comment
hmmmmPole but it was under ur n
pole for that, but it was under ur name!!"
NDIYOWewe ni Neema?
Dont generslize. Kila mtu sna namna yake ya kulinda mali zake. Watu wengi wana ile mentality kwamba kila me ana mchepuko. La! Hiyo nakataa kbs. Wapo waume na wske wengi sana ambao nivery decemt. Usichukulie kila kitu for granted. Km wewe sio mwaminifu wapo wengi tu waaminifu ukitaka kuwajua nitaweza kutajia lati ya hao2 marafili zako
Wewe na nani? Life haina formula kw hiyo yaliyokupata ndoani sio lazima yanipate mie. Una mawazo kinzani kwamba kila mwanandoa mme ana chepuko Sio wote huo ni mtazamo wako tu. Usihofu yakinikuta sitakutafuta bali nitaleta mrejesho humu2 na ikizidi kuchanua nitakualika ujr kujifunza mbinu walau moja tu.Naomba ubakie na hii Imani milele ila usije kujiua when ukija kugundua mwenzio ana wake wa pembeni, na usinitafute. Wenzio tunaongea kutokana na experience.
Wewe na nani? Life haina formula kw hiyo yaliyokupata ndoani sio lazima yanipate mie. Una mawazo kinzani kwamba kila mwanandoa mme ana chepuko Sio wote huo ni mtazamo wako tu. Usihofu yakinikuta sitakutafuta bali nitaleta mrejesho humu2 na ikizidi kuchanua nitakualika ujr kujifunza mbinu walau moja tu.
Nikuache tu namawazo yako ya zamani. Brainwashed huwezi kuamini vinginrvyi maana umeaminishwa hivyo na ndiyo unayotenda. Na aisifuye mvua....... Kwa hiyosikushangai bro. Usimtende mkeo hivyo mpe raha bana. Issue closed!!!Sawa, ndiyo nyie mnaokuja kujiua baada ya kugundua ukweli.
[emoji23] Ulivyoongea umenikumbusha "jolene i'm begging of you please dont take my man" ya Dolly parton![emoji23]Sijui nimfanyie nini jamani. Handsome la nguvu side burns zinavutia maana ni safi saa zote. Akivaa nguo zinamfit vzr sana. Tukitoka kila mtu jicho. Sipendi akasirike jmn nitaumia sana. Lakini kuna jambo moja lanifurahisha nikiwaona hao wadada wanavyomtumbulia macho roho yangu mwaaaaaaa natamani waendelee tu kumla kwa macho jmn na si vinginevyo noooooo jmn msimguse pse. Nampenda mimi. Akinishika mkono mwili mzima unakuwa kama jelly kwishney. Dada M na L pse dont look at him like that with ur rolled eyes