Huyu baba nampenda lakini hanielewi

Umeonaeee pse leave him alone he is the only one for me.
 
ni jambo jema kupenda chako
 
Tanzania hatuwezi kufika mbali na watu wenye akiri za namna hii
 
"hivi wanawake nyie? kwanza nikuulize swali yeye anakusifia kama unavyomsifia? any way wanaume ni walewale usichanganyikiwe na uzuri wapo ambao hujawaona mama"
 
"hivi wanawake nyie? kwanza nikuulize swali yeye anakusifia kama unavyomsifia? any way wanaume ni walewale usichanganyikiwe na uzuri wapo ambao hujawaona mama"
Huyu ndiye ndie niliyemuona. Huyo mwingine wa kwsko macho yangu yalimuons huyu. Sio lazima nikimsifia nae anisifie kwa njia hii hii pengine ana njia yake nyingine ya kunijaza sifa. Ttz lako unataka ushindani kati ya ke na me, haviendi hivyo aisee. Usione wivu hujasifiwa ni kwa sababu hujawahi fanya hivyo. Pole!!!
 
"
"...komaa naye..."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…