Huyu Balozi Tanzania - UN - 1964 William Samwel John Malecela ni nani? Le mutuz njoo unijibu

Huyu Balozi Tanzania - UN - 1964 William Samwel John Malecela ni nani? Le mutuz njoo unijibu

Duniahadaa

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2017
Posts
336
Reaction score
677
Wandugu leo nilikuwa nafanya reserch zangu kwenye database za UN, Ghafla nikagongana na huyu anayeitwa Willium Samwel John Malecela akikabidhi vitambulisho vyake kwa katibu Mkuu wa UN.

Swali ni hili: Je, na yeye pia ni Willium? mimi najua Willium ni mtoto (aka Le mutuz nation) isije ikawa ajabu ya mzee Rajabu kazaa mtoto kamwita Rajabu.

Willium njoo ondoa utata.
216233.jpg

Permanent Representative of United Republic of Tanzania Presents Credentials

William Samuel John Malecela (right), new Permanent Representative of the United Republic of Tanzania to the United Nations, presenting his credentials to Secretary-General U Thant.

Ambassador Malecela was the Tanganyika Consul to the United States in 1962 and Secretary of his country’s Mission to the United Nations at the same time. In 1963, he was appointed Regional Commissioner of Mwanza Region (on the shores of Lake Victoria), and during this period he was Chairman of the Western Cotton Advisory Board. He graduated from the Sydenham College of Commerce and Economics of the University of Bombay, India, in 1959, and went to Cambridge University, England, at the end of 1961 for post-graduate work in administration. He was born on 20 April 1934.

19 November 1964
United Nations, New York
 
Sasa huoni kabisa kuwa ni mzee Malecela baba yake le mutuz?
SOMA KWA UTULIVU UTAELEWA mkuu, SWALI NI KUWA JOHN PIA ANAITWA WILLIUM KAMA MWANAE? PIA NIKAULIZA ni Ajabu ya Mzee Rajabu kuzaa mtoto na kumwita Rajabu? yaani ni hivi ngona nikutafunie: Willium Malecela Lemutuz babake pia anaitwa Willium?
 
Umelenga kutujulisha jambo gani mkuu??, si uwe wazi tuu!! [emoji3][emoji3]
SOMA KWA UTULIVU UTAELEWA mkuu, nimeuliza SWALI: JOHN PIA ANAITWA WILLIUM KAMA MWANAE? PIA NIKAULIZA ni Ajabu ya Mzee Rajabu kuzaa mtoto na kumwita Rajabu? yaani ni hivi ngona nikutafunie: Willium Malecela Lemutuz babake pia anaitwa Willium?
 
SOMA KWA UTULIVU UTAELEWA mkuu, SWALI NI KUWA JOHN PIA ANAITWA WILLIUM KAMA MWANAE? PIA NIKAULIZA ni Ajabu ya Mzee Rajabu kuzaa mtoto na kumwita Rajabu? yaani ni hivi ngona nikutafunie: Willium Malecela Lemutuz babake pia anaitwa Willium?
...ninaitwa Isaac mtoto wangu anaitwa Isaac pia,..kwani kuna ubaya hapo ?
 
Wandugu leo nilikuwa nafanya reserch zangu kwenye database za UN, Ghafla nikagongana na huyu anayeitwa Willium Samwel John Malecela akikabidhi vitambulisho vyake kwa katibu Mkuu wa UN.

Swali ni hili: Je, na yeye pia ni Willium? mimi najua Willium ni mtoto (aka Le mutuz nation) isije ikawa ajabu ya mzee Rajabu kazaa mtoto kamwita Rajabu.

Willium njoo ondoa utata.

bofya hapa kuona:

Permanent Representative of United Republic of Tanzania Presents Credentials
Wewe ni mchokozi tu, le mbabux ameamua kujiweka pembeni humu kwa ile skandali ya kiba100 sasa mnataka arudi ili muendelee kumletea miyeyusho yenu, mwacheni babu wa watu.
 
Jana nimemsikia LEMUTUZ aka LE MZEMBE aka LE MUBABAZ aka LE MSAMBWANDA akiwa radio Uhuru akijisifu kuwa ni baharia SUGU.
kuwa hata meli zikipata shida yeye anakaa posta serikali ikihitaji msaada wake wamuite,ila yuko njema sekta ya ubaharia
 
SOMA KWA UTULIVU UTAELEWA mkuu, nimeuliza SWALI: JOHN PIA ANAITWA WILLIUM KAMA MWANAE? PIA NIKAULIZA ni Ajabu ya Mzee Rajabu kuzaa mtoto na kumwita Rajabu? yaani ni hivi ngona nikutafunie: Willium Malecela Lemutuz babake pia anaitwa Willium?
le mutuz ni mtoto wa kambo.
Mzee malechela alimpa jina la willian kama la kwake ili wife asishtukie issu
 
le mutuz ni mtoto wa kambo.
Mzee malechela alimpa jina la willian kama la kwake ili wife asishtukie issu
Facts are stubborn things, Le Mutuz ndie mtoto wa kwanza wa kiume wa Mzee JS Malecela. Baada ya Le Mutuz, Mzee JSM alipata watoto wengine wawili wa kiume, Senyagwa na Ipyana ambapo both are deceased, hivyo William, Le Mutuz ndio the only heir to Mzee JSM, wengine ni mabinti wawili Dr. Mwele na Jaji Mwendwa. Mimi nimesoma primary class moja na Mwendwa, kisha nikasoma sekondari moja na kaka na dada, Senyagwa na Mwele, wao wakiwa A level mimi nikiwa O-level
P
 
Facts are stubborn things, Le Mutuz ndie mtoto wa kwanza wa kiume wa Mzee JS Malecela. Baada ya Le Mutuz, Mzee JSM alipata watoto wengine wawili wa kiume, Senyagwa na Ipyana ambapo both are deceased, hivyo William, Me Mutuz ndio the only heir to Mzee JSM, wengine ni mabinti wawili Dr. Seche na Haji Mwendwa. Mimi nimesoma primary class moja na Mwendwa, kisha nikasoma sekondari while moja na Senyagwa na Seche.
P
Mwele Malecela sio mwanae?
 
Back
Top Bottom