Huyu Balozi Tanzania - UN - 1964 William Samwel John Malecela ni nani? Le mutuz njoo unijibu

SOMA KWA UTULIVU UTAELEWA mkuu, SWALI NI KUWA JOHN PIA ANAITWA WILLIUM KAMA MWANAE? PIA NIKAULIZA ni Ajabu ya Mzee Rajabu kuzaa mtoto na kumwita Rajabu? yaani ni hivi ngona nikutafunie: Willium Malecela Lemutuz babake pia anaitwa Willium?

George Bush Wawili wa Marekani Mtu Na mwanae
 
Jana nimemsikia LEMUTUZ aka LE MZEMBE aka LE MUBABAZ aka LE MSAMBWANDA akiwa radio Uhuru akijisifu kuwa ni baharia SUGU.
kuwa hata meli zikipata shida yeye anakaa posta serikali ikihitaji msaada wake wamuite,ila yuko njema sekta ya ubaharia
Yuko vizuri kwenye swala la ubaharia,anasema alipitisha Meli bermuda triangle kwa wepesi bila kupata mkanganyiko kitu ambacho mabaharia wakongwe hawakiwezi kutokana na sehemu hiyo kuwa ni hatari duniani kupitisha chombo.
 
Yuko vizuri kwenye swala la ubaharia,anasema alipitisha Meli bermuda triangle kwa wepesi bila kupata mkanganyiko kitu ambacho mabaharia wakongwe hawakiwezi kutokana na sehemu hiyo kuwa ni hatari duniani kupitisha chombo.
Kwenye mambo ya meli yuko vizuri, hata kunapotokea ajali za vyombo vya majini, serious media huwa zinamtafuta kupata his expert opinion

P
 
Chaajabu anayekula posho ya mzee ni yule dogo wa kambo wa kiume anaitwa Nyange mjini anasugua mbususu tu.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Kuna yule Dr ceche aliyekua anatoa elimu ya covid kwenye social media ndio huyo mwele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…