Huyu bibi aliishi jamani bongo tunaweza mlinganisha na nani

Nyasamaki

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
1,055
Reaction score
595
[h=3]Inside Late Comedian Joan Rivers Luxury New York Apartment[/h]


Camera's have been allowed to capture the extremely luxurious home of late comedian Joan Rivers.

The limestone mansion which was built in 1910 for society figure John R Drexel and his socialite wife has in the past been described the Upper East Side condo as 'where Marie Antoinette would have lived if she had the money'.


Joan Rivers had tried to sell the property a number of times, first in 2009, when she planned to move to the West Coast to be closer to her daughter, Melissa Rivers.


Her latest attempt was in 2012 when the breathtaking property was put on the market for a $29.5 million asking price.













 
Pamoja na kurekebisha nyuso hata kumzidi MJ na kutaka kuonekana kijana,siku ilipofika Israel alifanya vitu vyake,hizo plastic surgery ni muonekano wa nje tu lakini ndani uzee upo palepale ,hata uukarabati kwa mamilioni lakini ikifika siku ni lazima kwenda kwa udongo,tulitoka kwa udongo na tutararudi kwa udongo,hiki kibibi ndio kilikuwa kinashabikia kuuawa kwa Wapalestina na kilidhani chenyewe kitaishi milele.
 
Ukiishi humo unaweza kuhisi kama haufi vile....................
 
waoooo!fantastic!.......this is how a human being suppose to live!
R.I.P
 
Tusimseme bibi wawatu jamani ameshatangulia mbele ya haki R.I.P Joan Rivers, pesa zake katafuta mwenyewe wala ajamuibia mtu yeyote ni haki atumie anavyopenda, ss kuna viongozi hapo bongo wanaishi maisha kama haya na kumiliki malo kadhaa kwa hela ambayo wameibia wananchi,vijijini watu wanateseka wakati wao wanakula raha na vizazi vyao wananiuziii SELFISH KABISA...!
 
Sijui ni ulofa wangu,...why sell it? Ningekaa humo humo mpaka ziraili aje...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…