Huyu bibi kwa kweli amenipa moyo sana

Huyu bibi kwa kweli amenipa moyo sana

Pendaelli

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2014
Posts
11,050
Reaction score
31,412
ukimsikiliza kwa makini utagundua ni mtu anaefanya kazi yake kwa moyo akiwa na ari tofauti na sisi vijana wasasa, tumejawa na malalamiko na udhaifu mkubwa sana kwenye utendaji wetu.
ni bibi wa kenya mwenye umri wa miaka 80 anaefanya kazi ya kitaamu ingawa umri umesogea sana kwake lakini sio kikwazo kwake anafanya kazi huku akitoa mfano kwa familia yake na lengo lake ni kumaliza umaskini.
binafsi ameniencorage sana haswa sisi tunaokata tamaa mapema.

KAZI YOYOTE YA MKONO NI KUTUMIA TU AKILI NA KUWA NA ROHO SAFI.
 
Back
Top Bottom