Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Nimefahamiana nae mwezi wa kwanza. Kwa kuwa nilikuwa na mpenzi mwingine, sikuwa na njaa ya kuitafuna papuchi yake.
Mwezi wa nne akananiita na kunikalisha kikao kisha kunambia kuwa mimi ni mwanaume wa tofauti kwa kuwa nimeweza kukaa nae kwa muda mrefu bila kumuomba utelezi, anajivunia kuwa na mimi na ananipenda sana.
Mwezi wa tano mwanzoni mahusiano yangu yakaenda mrama. Ndipo kumkumbuka kisha kumuomba mbususu niichakate. Aliishia kunikwepa na kunipanga tarehe za uongo na asionekane. Ndipo nilipojisemea kuwa "Yametimia" kisha kufanya mambo yangu.
Za chinichini zikasikika zikimtaja yeye kutembea na binamu yake. Hilo picha nililishuhudia baadhi ya script. Roho ikaniuma sana, kwa kuwa mchakataji haumii roho nikasema "Potelea Pote"
Mahusiano yakawa ndo hivyo kama yamekufa hivi. Japo tulikuwa tukionana lakini cha ajabu hakunipatia salamu. Nikasema "Buyu Buyu, kama Mbwai, Mbwai tu"
Leo saa moja nimeshtushwa na mtu nyuma yangu. Kugeuka kumbe ni binti, anasema kaja kuniaga kwa kuwa ana safari ya kwenda mkoa X kuwapeleka wadogo zake likizo. Hivyo kesho kutwa asubuhi ataondoka.
Ndipo kumuuliza kama kesho atakuwepo free, akasema kuwa yupo. Nikamgusia suala la mbususu, hakujibu badala yake akaondoka mbele yangu akiwa kachukia.
Ushauri tafadhari!