Huyu binti JF kauteka moyo wangu nipeni maujanja ya kumtongoza

wakati wote unamuona JF,anaweza kuwa ni kidume,no wonder anakuchunia,duuh hata vocha unamtumia????

ee mtu wangu hata vocha natuma. huwa ananitext eti figga eeh nimefulia mshikaji, ntumie hata vocha basi. mi natuma lakini cha ajabu hata simuingii kichwani. Mia
 
Kwa hiyo ukishang'oa kule temeke sudani 2takua ha2endi tena? Hundred.
 
ee mtu wangu hata vocha natuma. huwa ananitext eti figga eeh nimefulia mshikaji, ntumie hata vocha basi. mi natuma lakini cha ajabu hata simuingii kichwani. Mia
Hapa naona unatuletea fibes,mimi siamini kama humu JF KUNA mwanadada wa kuomba vocha,waliomo humu are bigger then that
 
Afu si umeskia
hamna kukataa
ni polisi jamii huyo

hapana mkuu. mapenzi hayalazimishwi ndo maana kila siku nambembeleza akubali kuwa mpenzi wangu yaani balafu wa moyo wangu. Mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…