Angalia intelligent quotient (I.Q) yako..pia angalia emotional quotient (I.E) yako..hizi hata ukigoogle zipo softiware nzuri za kupima..mara nyingi ukihits from 60% na kuendelea upo vizuri..hii inaweza kua ngumu ila kibongobongo lazm kama upo serious unajitambua km wew upoje
kinachofanya mahusiano mengi yasidumu ni zile expectation out of marriage, wewe una mategemeao makubwa saaana, tena ni ya nje kabisa na uhalisia wa mapenzi, yaani mategemeo yako na ndoa ni vitu viwili tofauti, mapenzi na uginius, sawa ucheshi unahusika, ila omba upate mwenye mapenzi ya dhati, anayejua maana ya kuwa wa2 sifa za kibinadamu za nje zinadanganya nakutakia kila la kheri umpate mwenye upendo sio mwenye vigezo
Inaonyesha unaongealea vitu ambavyo hata huvijui.
Kwanza IQ tests zipo biased kwa namna ya kufikiri ya Kimagharibi.
Pili IQ tests haziangalii vitengo vyote vya intelligence kwa hiyo, matokeo ya IQ tests hayamaanishi chochote
Tatu, tests nyingi zinafungamana na nadharia ulizowahi kuzisikia darasani kama kujua mfulululizo wa namba kwenye series, ambazo zinatoa hoja kuwa aliyekuwa hajaenda shule basi si intelligent wakati si kweli
Yu got point but to some point inaweza isilet exct result lkn ikaja na result ambazo ni atlist!..isue ya Magharibi...nakubali ni mfumo wa kimagharibi ndio na is not the best tool kupima IQ,however its works tho..as in africa/tz we don't hav our methods to calculate IQ,and while we ar waiting for the aprpriate tool for IQ measurement..let's rely ya kimagharibi!
Kwa hiyo u-rely na wa Kimagharibi japo sisi si Wamagharibi?
Hiyo inanikumbusha mtu alotafuta ufunguo wake uliopotea kwenye barabara penye mwanga wa taa, kwa sababu ulipopotea ufunguo wake kuna giza hawezi kuuona
Haina maana yoyote
Ina maana to annoy u even more wazungu ndo expert wa mifumo hata tunayotumia africa..kwa maneno unawez bt I reality is the not case.
wanaume wa ukweli siku izi tumebaki wachache sana!!....unaonekana upo bado stage ya usharobaro na haujaeza kujitambua vizuri unahitaji nn in this world..
Umenyiona wapi adi use ivyo?.u too judgmental...jukwaa lako si JF Doctor kaendelee kuulizia msaada wa kitabibu kuhusu ubongo wako na dawa za ngiri ndugu yangu acha kuchafua thread na judgment zako zisizo na ground..watu wengine unajidai upo seriouz na maisha wengine unawaona masharobaro,uwashukuru sie ndo tunashikiza ndoa zenyu mjini hapa
wee toka povu ila hiyo habari ndio saizi yako.....sina haja ya kuonana na wapuuz kama nyie;just a single line of ur comment can define how low you are.izo bbm za kununua na ada ya shule ndo unazotambia jf..shame.
we kaka nakushangaa inaonekana kuwa wewe ni mwalibifu wa mabinti tena ushindwe kwa jina la yesu tena una pepo .
Mariage is a pinacle of all dating and relationships..so natafuta mdada mswetee mzuri wa kudate size ya kati ila awe na akili sana if m bn specfic awe mini genius ,awe master of manipulation,awe na ushawishi,mcheshi..pia awe anaenda na wakat in the sanse tht anacope na tech change, awe mshabiki wa arsenal..mie ni mwanaume (27),naishi jijin wa size ya kati mwembamba..km yupo mdada mwene vigezo nipm BBM pin yako!.
Mimi ningeweza kuku-pm, lakini avatar yako imenitisha na kunikatisha tamaa. Waweza kuwa mwanga wewe!