sifi leo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2012 Posts 5,182 Reaction score 8,948 Jul 12, 2023 #1 Picha hapo chini inajieleza Bondia kavaa miwani Kwenye ukumbi wa ndondi uku amepaka lilipusiki lake kubwaaaa alafu anapigana na ukuta sisi hatuwezi kamwe.
Picha hapo chini inajieleza Bondia kavaa miwani Kwenye ukumbi wa ndondi uku amepaka lilipusiki lake kubwaaaa alafu anapigana na ukuta sisi hatuwezi kamwe.
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 11,131 Reaction score 9,301 Jul 12, 2023 #2 Mtakimbilia wapi mkitaka kukamatwa, hawatakagi kusemwa waLa kutaniwa.