Huyu bosi vp

s.fm

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2009
Posts
663
Reaction score
117
I hope mnaendelea vizuri wana JF

Mwenzenu nafikiria niondokaje leo hapa ofisini..jana jioni wakati natoka bosi wangu aliniomba lifti na alipoingia akaniambia leo lazima nikamuoneshe nyumbani kwangu, ofcz alikua anaongea kama ni utani flani nami nikajua ndio ivo
kumbe bana alimaanisha, mama wa watu akakomaa kwenye gari mpaka mitaa ya home mitaa ya kunduchi hiyo ni kama mida ya saa moja na nusu, tunafika getini kabla sijapiga horn eti anadai anataka kushuka, nilipomuuliza mbona unataka kushuka huku nje akajibu yeye alikuja kwa ajili ya kitu kimoja tu...eti nimpe kiss
tukazinguana pale lakini kwa sababu ilikua maeneo ya home ikabidi mzee nimpe hiyo kiss ili aondoke zake, akataka tena nikala mara ya pili nikatulia then akaniambia anataka kuondoka bahati nzuri nina namba ya jamaa wa bajaji nikampigia akaja kumchukua!

sasa leo hapa ndio nafikiria how should i go..kuna kila dalili kuibukiwa tena!
 
Kama ulikua hutaki kabisa ungemkomalia tangu mwanzo!Umeanza kwakujilegeza...tegemea matakwa zaidi!
 

tHE FIRST REACTION IS ALWAYS THE CORRECT/WRONG ONE. yOU HAVE SOLD YOURSELF TO HER. UNGEKATAA HIYO KISS UNGEPUNGUKIWA NINI?
 
Man up,your boss ought to respect your decisions.Nenda ofisisni kama humtaki,show her na stand for what you say,otherwise have a great time!
 
kula kitu hiyo mzee faster unajiuliza nini na wewe ushampeleka home?au wewe bwabwa?????
 
Kwakuwa uluyaruhusu mazingira hayo,sasa ni jukumu lako kutatua tatizo hilo.
Mwisho wa siku atakulazimisha umpukuchue, na namashaka kama utakumbuka zana.
Anyway Akili kukichwa.
 
tHE FIRST REACTION IS ALWAYS THE CORRECT/WRONG ONE. yOU HAVE SOLD YOURSELF TO HER. UNGEKATAA HIYO KISS UNGEPUNGUKIWA NINI?

that is totally true...bt u know i just wanted her to go from there! i thought angenisumbua coz we spent like 3 hrs to reach there kumbe mwenzangu kuna kitu anataka
 

Nenda naye tu mdogo wangu, leo lock milango ya gari ingia naye hadi ndani ya geti
 
Man up,your boss ought to respect your decisions.Nenda ofisisni kama humtaki,show her na stand for what you say,otherwise have a great time!

ubarikiwe
 
kuna tu mkuu, mbaya awe kaolewa/ umeoa

sina uhakika kama kaolewa ama la kidoleni ana pete flani hivi but hazioneshi kama ni za ndoa (sina uhakika), ila mi bado mkuu
 
tHE FIRST REACTION IS ALWAYS THE CORRECT/WRONG ONE. yOU HAVE SOLD YOURSELF TO HER. UNGEKATAA HIYO KISS UNGEPUNGUKIWA NINI?
anaweka zengwe ofisini hadi jamaa anasalimu amri au kibarua chaota nyasi!!:tongue:
 
anaweka zengwe ofisini hadi jamaa anasalimu amri au kibarua chaota nyasi!!:tongue:


HAIHUSU HIYO KWANI jAMAA KALALAMIKA KUHUSU MAHUSIANO KAZINI?YEYE ANASEMA HUYU BOSI VIPI ANATAKA KUKOBOLEWA SASA YEYE NI KUANGALIA MZIGO KAMA UNALIPA AKOBOE TUU KAMA HAULIPI AUPOTEZEE SIO LAZIMA SANA
 

Fanya kama jana.
 
we mega tu kwani kuna ubaya wowote hapo? ubaya kama ana ngoma lakini kajilegeza wewe maliza tu ukishindwa atakufukuza kazi
 
Mpotezee. Ameathirika huyo halafu heshma ya kazi itashuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…