Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Katika birthday ya Gigy Money nimemuona Boyfriend wake akihojiwa You Tube. Huyu Mchuchu wake anaongea kingereza tu. Sijasikia akiongea kiswahili, je sio Mtanzania?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimbe aliwahi kutimuliwa? Ni raia wa nchi gani?Siku aliyotimuliwa na kurushiwa virago vyake na huyo gigy aliiongea kiswahili kilichonyooka akiwa analia
Nadhani NigeriaKimbe aliwahi kutimuliwa? Ni raia wa nchi gani?
Mnaigeria wa kino,mana wanaume wa kino huwa wanahama wamepanda bodaboda au bajajYule jamaa ni mnigeria sio mbongo.
Ndugu yangu , yule ni Mnigeria. Sasa yeye na kiswahili wapi na wapi.Katika birthday ya Gigy Money nimemuona Boyfriend wake akihojiwa You Tube. Huyu Mchuchu wake anaongea kingereza tu. Sijasikia akiongea kiswahili, je sio Mtanzania?
Katika birthday ya Gigy Money nimemuona Boyfriend wake akihojiwa You Tube. Huyu Mchuchu wake anaongea kingereza tu. Sijasikia akiongea kiswahili, je sio Mtanzania?
Ha ha ha [emoji23][emoji12]Marioo lazima ajue lugha zote ili adange,bila hivyo atakufa na njaa