Kwanza acha kuiga mtoa mada kingine kwa wadau wanaofatilia muziki inajukana kabisa ipo hivo kwa diamond cos anafanya show nyingi alafu ambazo zipo karibu karibu mfano Hadi Sasa hiv jamaa ana show 27 na hapo Jana tu katoka kufanya show Uganda na jumapili atafanya show mwanza muda kesho kutwa yake anashow ya ulaya kwa maana hiyo baada tu kumaliza show ya mwanza anatakiwa apande ndege kwenda uingereza ikizingatiwa pia before ya show lazima uwe umefanya mazoezi kutokana na hivyo lazima jamaa apate uchovu.Hizo propaganda za mange huku jamiiforum hazina nafasi huku ni facts tu ndo maana umeona hata kwenye social network hiyo propaganda hajaijapewa nafasi imeishia kwa mange pekee.Angalia kwa makini hii video utajua kuna kitu hakiko sawa, wataalamu wa saikolojia mtatusaidia nini kimeanza kumsibu huyu icon wetu.
View attachment 1161022