blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
Mwenye hii Bajaji simfahamu, Lakini kwa Upendo wake ameamua tu kuitangaza kampuni yetu bila malipo na yuko very Proud
Najua anafuatilia page yangu. Namuomba aende Bunju leo akachukue shs 500,000 , fridge moja ya gheto na Jiko la umeme ili anapopika msosi awe anaendelea kua proud kama mimi
Asande sana ulienitumia hii video na pia Asande sana Dogo kwa Upendo ulioonyesha kwa KC TEAM
WE ARE PROOOOUD…..!
My Take.
Kuna Unsung heroes. Huyu Mwamba hakika anapambana sana. Na hela yake ni ya Jasho na Damu.
Hana budi kupewa heshima.