Ndugu Blogger na wewe ukaamini kuwa Bajaj kaprint KC kwa utashi wake?Vijana mnao maliza vyuo. Mfuateni huyu Mwamba. Hana roho mbaya.
Ajira hazipo
Ni branding yake mwenyewe ,hapo anacheza na akili zenu, hapo bajaji wengi watabandika mabango yake bure wakitaraji kupewa pesa na vituIpi mkuu!!?
Yes is a gem of psychologyNi branding yake mwenyewe ,hapo anacheza na akili zenu, hapo bajaji wengi watabandika mabango yake bure wakitaraji kupewa pesa na vitu
Automatically watakuwa wamemtangazia biashara bure kabisa bila kulipia kitu
Biashara Ina Siri nzito
Miaka kadhaa nyuma huyu jamaa alikuwa anatukanwa na kukashifiwa humu kama marehemu Lemutuz.Vijana mnao maliza vyuo. Mfuateni huyu Mwamba. Hana roho mbaya.
Ajira hazipo
Biashara inahitaji saikolojia tuYes is a gem of psychology