Huyu Clement Mzize ni Hallaand mtupu, tofauti yao labda nywele na rangi tu!

Huyu Clement Mzize ni Hallaand mtupu, tofauti yao labda nywele na rangi tu!

Hili dogo linatisha! ukimuangalia kwa haraka haraka urefu wa miguu yake kama nkwazi.

Huwezi kabisa kumtofautisha na mshambuliaji wa man city earling hallaand! derby ije haraka!

Hawa madogo ndio tunawataka taifa stars!
Umeniwahi nilichotaka kupost...!

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Kama ingekuwa umbo tu, basi Peter Crouch angefanya yake.....
 
Mwamba huyu hapa
FB_IMG_1668516146964.jpg
FB_IMG_1668516159575.jpg
FB_IMG_1668516169045.jpg
 
Akisimama yeye na peter banda kwa umri wa peter banda huyo dogo still young ila sasa peter banda anaokana mdogo kwa mzize
Bongo hii
Lakini hata halland kibongobongo anaonekana mzee[emoji23][emoji23]
 
Kama una namba za dogo mkumbushe akajiweke sawa mapema kulikuwa na kina miraji athuman madenge pamoja na Rashid juma wakati huo yanga kuna paul godfrey boxer na balama ila kilichowakuta kila mtu anakijua yaani ushirikina unarudisha sana nyuma maendeleo ya soka letu.
 
Umeongea point, akina Dube,Mayele wanakutana nayo sasa

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Yani kama Gaudence Mwaikimba. Yani enzi hizo angekuwa Halaand kabisa. Umbo kila kitu. Sema tu basi alikulia mazingira ya bongo. Kwasababu asubuhi alikuwa anapiga chai na mihogo kabla ya kwenda kwenye genge lake. Jioni anamuachia waif auze akienda mazoezini
 
Sisemi kama wewe kuhusu Haaland, lakini nakubali dogo ni striker
 
Back
Top Bottom