ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Nilivomuona sio mtulivu. Au labda hajawahi kuwa coach mkuu popote alikuwa msaidizi huko kote alikotoka, hivi Simba hawakupata cv za coach wa maana Kwa ajili ya project yao?
Coach amekuja amefanya pre season na team, wamewaona mastriker wote Mukwala na Fred na akawa ana sifia ati ana team nzuri.
Hivi kwanini Simba walimwacha Babakar Sarr na Kanoute wakamleta Okajepha na Deborah 😆
Sana amecheza mechi mbili za ushindani za Community Shield 🛡️ tayari ashamkatia tamaa Mukwala
Hata kabla league haijaanza.
Soma Pia: Simba kabla ya kuanza kujua ubora wa kikosi chenu Fukuzeni kocha Fadlu David. Huyu ata aje Messi na Mbape hatutoboi
Kipandi Yanga wanamsajili Mayele alicheza mechi 6 bila bao akaja kuwaka kuanzia mechi ya 7. Sasa kwanini coach Fadlu hataki kuwa na subra.
Haya huyu striker anakuja Kwa msimu mzima ana goli 1 na hajafanya pre season na team unadhani atafanya maajabu Gani?
Kibu aliwanyia uhuni Simba lakini Bado viongozi wanalazimisha acheze hana hata pre season alikuwa disco huko ughaibuni. Kwa wengi hili la coach na Viongozi wa Simba, hii team hata top 4 hatakuwepo.