Huyu comedian CHAUROHO namkubali sana ,

HAO MQMBO NA VIJAMBO ACHANA NAO! WASHASHINDIKANA, HUYO CHAUROHO NA YULE "YESU" SIO WATU WAZURI
 
Moja ya vipindi vichache vya kibongo navyoweza kuangalia

Halafu kuna yule muongo..
Mh! yule muongo kila kitu anajua,m nampenda sana ayoub yule bwana mrekebisha watu anatupia kitambaa kama yesu.
 
Kazoa kwenye ubora wake. Jamaa wanajua hao.
 
Ha ha ha ha, Huyo anafaamika kwa jina la Bamdogo Kazoa

Jamaa wapo vizuri kwa kweli.
 
hahahah kuna jamaa hapo anaitwa maneno kumi ayayayayaya jamaa ananiachaga hoi sana akifuatiwa na huyu cha uroho A.K.A kazoa
 
hah hawa jamaa wako vizuri sana .. kazoa ni chizi sana
 
[emoji23][emoji23] yule abaejifanyaga anajua kila kitu mwishowe anakuja kuomba jero akanue mihogo [emoji23][emoji23]
 
HAHAHAHA hawa jamaa wako vizuri sana sema kuna shida sana hapo EATV maana hawa jamaa hawakui pamoja na kuwa na uwezo mkubwa sana wa kuigiza ,EATV kati ya mambo wasiwyo yaweza ni kutoa promo hawa jamaa wanajua sana yani wanachekesha hadi basi.....
EATV wameshindwa kuwapa muda mzuri na promo....
 
Anko Kazoa huyo,
Huyo jamaa hata kama anaigiza ila Mdomo wake una uwezo mkubwa aisee wa kupokea matonge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…