nadhani hii ni jokes fulani ila sijaelewa hicho kingereza chake. anamainisha nini?.
nimeishia darasa la saba na nina uelewa mdogo sana wa lugha kingereza, wale magwiji wa lugha hii mtusaidie kutafasiri ili kama kamkebehi rais wetu kipenzi na mtukufu sana twende tukavamie account yake ya instagram na kuliamsha dude mpaka ashushe post... hata kwa broken english. [emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12]